-
Ufunuo 12:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini mabawa mawili ya tai mkubwa akapewa mwanamke, ili apate kuruka kuingia katika nyika hadi mahali pake; huko ndiko alishwako kwa wakati na nyakati na nusu wakati mbali na uso wa nyoka.
-