-
Ufunuo 13:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Nao wakamwabudu yule joka kwa sababu alimpa mamlaka yule mnyama wa mwituni, nao wakamwabudu mnyama wa mwituni kwa maneno haya: “Ni nani aliye kama huyu mnyama wa mwituni, na ni nani anayeweza kupigana naye?”
-
-
Ufunuo 13:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Nao wakaliabudu joka kubwa kwa sababu lilimpa hayawani-mwitu mamlaka, nao wakamwabudu hayawani-mwitu kwa maneno haya: “Ni nani aliye kama hayawani-mwitu, na ni nani awezaye kupigana naye?”
-