-
Ufunuo 14:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Hawa ndio wale ambao hawakujitia wenyewe unajisi na wanawake; kwa kweli, wao ni mabikira. Hawa ndio wafulizao kumfuata Mwana-Kondoo hata iwe ni wapi aendako. Hawa walinunuliwa kutoka miongoni mwa wanadamu wakiwa matunda ya kwanza kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo,
-