-
Ufunuo 14:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na moshi wa kuteswa-teswa kwao hupanda milele na milele, na mchana na usiku hawana pumziko lolote, wale ambao huabudu hayawani-mwitu na sanamu yake, na yeyote yule apokeaye alama ya jina lake.
-