-
Ufunuo 17:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Naye akanichukua katika nguvu za roho akanipeleka nyikani. Nami nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama wa mwituni mwenye rangi nyekundu aliyejaa majina ya makufuru na aliyekuwa na vichwa saba na pembe kumi.
-
-
Ufunuo 17:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Naye akanichukua katika nguvu ya roho kuingia nyikani. Na nikaona mara hiyo mwanamke ameketi juu ya hayawani-mwitu wa rangi-nyekundu-nyangavu aliyejaa majina yenye makufuru na aliyekuwa na vichwa saba na pembe kumi.
-