-
Ufunuo 18:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Mlipeni sawa na vile yeye mwenyewe alivyolipa, na mfanyeni mara mbili ya kadiri ya hivyo, ndiyo, mara mbili ya hesabu ya mambo aliyoyatenda; katika kikombe ambacho yeye alitia mchanganyiko ndani yacho mtilieni mchanganyiko mara mbili ya kadiri hiyo.
-