-
Ufunuo 18:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa kadiri ambayo alijitukuza mwenyewe na kuishi katika anasa isiyo na aibu, kwa kadiri hiyo mteseni-teseni na kumpa ombolezo. Kwa maana moyoni mwake afuliza kusema, ‘Naketi nikiwa malkia, nami si mjane, nami sitaona maombolezo kamwe.’
-