-
Ufunuo 18:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 “Na wafalme wa dunia waliofanya uasherati naye na kuishi katika anasa isiyo na aibu watatoa machozi na kujipiga wenyewe kwa kihoro juu yake, watazamapo moshi uliotokana na kuungua kwake,
-