Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 18:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Hakuna nuru ya taa itakayoangaza tena ndani yako, na hakuna sauti ya bwana harusi na bibi harusi itakayosikiwa tena ndani yako; kwa kuwa wafanyabiashara wako walikuwa watu wenye vyeo vya juu duniani, kwa maana mataifa yote yalipotoshwa kwa mazoea yako ya kuwasiliana na roho.+

  • Ufunuo 18:23
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 23 na hakuna nuru ya taa itakayong’aa tena kamwe katika wewe, na hakuna sauti yoyote ya bwana-arusi na bibi-arusi itakayosikiwa tena kamwe katika wewe; kwa sababu wafanya-biashara wako wanaosafiri walikuwa watu wenye daraja la juu wa dunia, kwa maana kwa zoea lako la kuwasiliana na roho mataifa yote yaliongozwa vibaya.

  • Ufunuo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 18:23 re 270

  • Ufunuo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 18:23

      Upeo wa Ufunuo, kur. 269-270

      Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu, uku. 369

      Mnara wa Mlinzi,

      5/1/1989, kur. 6-7

      4/1/1989, uku. 4

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki