-
Ufunuo 20:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Naye akamvurumisha ndani ya abiso na kuifunga na kuitia muhuri juu yake, ili asipate kuongoza mataifa vibaya tena kamwe mpaka miaka elfu ilipokuwa imekwisha. Baada ya mambo haya lazima yeye afunguliwe kwa muda kidogo.
-