-
Ufunuo 20:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Nayo yakasonga juu ya upana wa dunia na kuizunguka kambi ya watakatifu na jiji lenye kupendwa. Lakini moto ukateremka kutoka mbinguni ukayameza.
-