Mwanzo 37:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 37:7 Mnara wa Mlinzi,8/1/2014, uku. 13
7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+