-
Mwanzo 40:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Mkuu wa waokaji alipoona kwamba Yosefu ametafsiri jambo jema, yeye naye akamwambia Yosefu: “Mimi pia nilikuwa katika ndoto yangu, na tazama, vikapu vitatu vya mkate mweupe vilikuwa kichwani pangu.
-