Mwanzo 6:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Utaifanyia safina tsohari [paa; au, dirisha], nawe utaikamilisha kiasi cha mkono mmoja kwenda juu, na mwingilio wa safina utauweka katika ubavu+ wake; utaifanya ikiwa na ghorofa ya chini, ghorofa ya pili na ghorofa ya tatu. Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 6:16 g 1/07 20 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:16 Amkeni!,1/2007, uku. 20
16 Utaifanyia safina tsohari [paa; au, dirisha], nawe utaikamilisha kiasi cha mkono mmoja kwenda juu, na mwingilio wa safina utauweka katika ubavu+ wake; utaifanya ikiwa na ghorofa ya chini, ghorofa ya pili na ghorofa ya tatu.