Mwanzo 11:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mwishowe ikawa kwamba walipokuwa wakisafiri kuelekea mashariki, waligundua nchi tambarare ya bondeni katika nchi ya Shinari,+ nao wakakaa huko.
2 Mwishowe ikawa kwamba walipokuwa wakisafiri kuelekea mashariki, waligundua nchi tambarare ya bondeni katika nchi ya Shinari,+ nao wakakaa huko.