Kutoka 11:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 na kila mzaliwa wa kwanza+ katika nchi ya Misri atakufa, tokea mzaliwa wa kwanza wa Farao anayeketi juu ya kiti chake cha ufalme hata mzaliwa wa kwanza wa mjakazi aliye kwenye jiwe la kusagia la mkononi na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+
5 na kila mzaliwa wa kwanza+ katika nchi ya Misri atakufa, tokea mzaliwa wa kwanza wa Farao anayeketi juu ya kiti chake cha ufalme hata mzaliwa wa kwanza wa mjakazi aliye kwenye jiwe la kusagia la mkononi na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+