Kutoka 29:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Nawe utamtoa ng’ombe-dume wa toleo la dhambi kila siku kwa ajili ya upatanisho,+ nawe utaitakasa madhabahu kutokana na dhambi kwa kufanya upatanisho juu yake, nawe utaitia mafuta+ ili kuitakasa.
36 Nawe utamtoa ng’ombe-dume wa toleo la dhambi kila siku kwa ajili ya upatanisho,+ nawe utaitakasa madhabahu kutokana na dhambi kwa kufanya upatanisho juu yake, nawe utaitia mafuta+ ili kuitakasa.