Kutoka 29:44 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 44 Nami nitalitakasa hema la mkutano na madhabahu; nami nitamtakasa+ Haruni na wanawe ili wawe makuhani kwangu.
44 Nami nitalitakasa hema la mkutano na madhabahu; nami nitamtakasa+ Haruni na wanawe ili wawe makuhani kwangu.