Mambo ya Walawi 1:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Naye kuhani atamtoa kwenye madhabahu na kukikongonyoa+ kichwa chake na kumfukiza kwenye madhabahu, lakini damu yake itamwagwa kando ya madhabahu.
15 Naye kuhani atamtoa kwenye madhabahu na kukikongonyoa+ kichwa chake na kumfukiza kwenye madhabahu, lakini damu yake itamwagwa kando ya madhabahu.