Mambo ya Walawi 4:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Naye kuhani atachukua sehemu ya damu hiyo ya toleo la dhambi kwa kidole chake na kuitia juu ya pembe za madhabahu ya toleo la kuteketezwa,+ naye ataimimina damu yake yote inayobaki kwenye msingi wa madhabahu.
34 Naye kuhani atachukua sehemu ya damu hiyo ya toleo la dhambi kwa kidole chake na kuitia juu ya pembe za madhabahu ya toleo la kuteketezwa,+ naye ataimimina damu yake yote inayobaki kwenye msingi wa madhabahu.