Mambo ya Walawi 4:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Kuhani atachukua kwa kidole chake kiasi kidogo cha damu ya mnyama huyo na kuitia kwenye pembe za madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa,+ naye atamwaga damu yote inayobaki kwenye msingi wa madhabahu.
34 Kuhani atachukua kwa kidole chake kiasi kidogo cha damu ya mnyama huyo na kuitia kwenye pembe za madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa,+ naye atamwaga damu yote inayobaki kwenye msingi wa madhabahu.