Mambo ya Walawi 19:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Mtakuwa na mizani sahihi, vipimo sahihi,+ kipimo sahihi cha efa na kipimo sahihi cha hini. Mimi ni Yehova Mungu wenu, ambaye nimewatoa ninyi katika nchi ya Misri. Mambo ya Walawi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 19:36 Mnara wa Mlinzi (Funzo),12/2021, uku. 10
36 Mtakuwa na mizani sahihi, vipimo sahihi,+ kipimo sahihi cha efa na kipimo sahihi cha hini. Mimi ni Yehova Mungu wenu, ambaye nimewatoa ninyi katika nchi ya Misri.