Mambo ya Walawi 23:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Nanyi mtatoa tangazo+ siku hiyo; kutakuwa na mkusanyiko mtakatifu kwa ajili yenu. Hamtafanya kazi ngumu ya aina yoyote. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo katika makao yenu yote kwa vizazi vyenu vyote.
21 Nanyi mtatoa tangazo+ siku hiyo; kutakuwa na mkusanyiko mtakatifu kwa ajili yenu. Hamtafanya kazi ngumu ya aina yoyote. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo katika makao yenu yote kwa vizazi vyenu vyote.