Mambo ya Walawi 25:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Kwa hiyo mtazishika sheria zangu na kufuata maamuzi yangu ya hukumu na kuyatenda. Ndipo mtakapokaa katika nchi hiyo kwa usalama.+
18 Kwa hiyo mtazishika sheria zangu na kufuata maamuzi yangu ya hukumu na kuyatenda. Ndipo mtakapokaa katika nchi hiyo kwa usalama.+