-
Mambo ya Walawi 25:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Na kuhusu mtumwa wako na kijakazi wako atakayekuwa wako kutoka katika mataifa yanayowazunguka ninyi, kutoka kwao ninyi mnaweza kununua mtumwa au kijakazi.
-