Mambo ya Walawi 25:45 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 45 Na pia kutoka kwa wana wa wahamiaji wanaokaa wakiwa wageni pamoja nanyi,+ kutoka kwao mnaweza kuwanunua, na kutoka katika familia zao zilizo pamoja nanyi, waliozaliwa kwao katika nchi yenu; nao watakuwa miliki yenu.
45 Na pia kutoka kwa wana wa wahamiaji wanaokaa wakiwa wageni pamoja nanyi,+ kutoka kwao mnaweza kuwanunua, na kutoka katika familia zao zilizo pamoja nanyi, waliozaliwa kwao katika nchi yenu; nao watakuwa miliki yenu.