-
Mambo ya Walawi 25:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 “‘Lakini ikiwa mkono wa mkaaji mgeni au mhamiaji aliye pamoja nawe utakuwa na mali, na ndugu yako amekuwa maskini karibu nawe naye alazimike kujiuza kwa mkaaji mgeni au mhamiaji aliye pamoja nawe, au kwa mshiriki wa familia ya huyo mkaaji mgeni,
-