Hesabu 6:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 “‘Na huyo Mnadhiri atanyoa+ kichwa chake cha Unadhiri wake kwenye mwingilio wa hema la mkutano, naye atachukua nywele za kichwa cha Unadhiri wake na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya ushirika.
18 “‘Na huyo Mnadhiri atanyoa+ kichwa chake cha Unadhiri wake kwenye mwingilio wa hema la mkutano, naye atachukua nywele za kichwa cha Unadhiri wake na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya ushirika.