19 Naye kuhani atachukua bega lililotokoswa+ kutoka kwa yule kondoo-dume na keki moja ya mviringo isiyo na chachu kutoka kwenye kile kikapu, na mkate mwembamba+ mmoja usio na chachu, na kuvitia mikononi mwa huyo Mnadhiri baada ya ishara yake ya Unadhiri kunyolewa.