-
Hesabu 17:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Na ikawa kwamba kesho yake wakati ambapo Musa aliingia ndani ya hema la Ushuhuda, tazama! fimbo ya Haruni kwa ajili ya nyumba ya Lawi ilikuwa imechipuka, nayo ilikuwa ikitokeza matumba na maua yanayochanua nayo ilikuwa na lozi zilizoiva.
-