Hesabu 18:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Nanyi msijiletee hatia ya dhambi mnapochanga vilivyo bora katika hivyo, wala msitie unajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, msije mkafa.’”+
32 Nanyi msijiletee hatia ya dhambi mnapochanga vilivyo bora katika hivyo, wala msitie unajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, msije mkafa.’”+