-
Hesabu 19:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “‘Hii ndiyo sheria ikiwa mtu atakufa ndani ya hema: Kila mtu atakayeingia katika hema hilo, na kila mtu aliye ndani ya hema hilo, atakuwa asiye safi siku saba.
-