Hesabu 21:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ole wako, Moabu! Hakika mtaangamia, enyi watu wa Kemoshi!+Hakika atawafanya wanawe kama watu walioponyoka na binti zake kuwa utekwani mkononi mwa mfalme wa Waamori, Sihoni.
29 Ole wako, Moabu! Hakika mtaangamia, enyi watu wa Kemoshi!+Hakika atawafanya wanawe kama watu walioponyoka na binti zake kuwa utekwani mkononi mwa mfalme wa Waamori, Sihoni.