Hesabu 21:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ole wako, Moabu! Mtaangamizwa, enyi watu wa Kemoshi!+ Huwafanya wanawe kuwa wakimbizi na binti zake kuwa mateka wa Sihoni, mfalme wa Waamori.
29 Ole wako, Moabu! Mtaangamizwa, enyi watu wa Kemoshi!+ Huwafanya wanawe kuwa wakimbizi na binti zake kuwa mateka wa Sihoni, mfalme wa Waamori.