Kumbukumbu la Torati 2:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 “Kisha tukageuka na kuondoka kuelekea nyikani kupitia njia ya Bahari Nyekundu, kama vile Yehova alivyokuwa amesema nami;+ nasi tukauzunguka Mlima Seiri kwa siku nyingi.
2 “Kisha tukageuka na kuondoka kuelekea nyikani kupitia njia ya Bahari Nyekundu, kama vile Yehova alivyokuwa amesema nami;+ nasi tukauzunguka Mlima Seiri kwa siku nyingi.