Kumbukumbu la Torati 4:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 “Na sasa, Ee Israeli, sikilizeni masharti na maamuzi ya hukumu ninayowafundisha ninyi kufanya, ili mpate kuishi+ na kwa kweli mpate kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu anawapa ninyi.
4 “Na sasa, Ee Israeli, sikilizeni masharti na maamuzi ya hukumu ninayowafundisha ninyi kufanya, ili mpate kuishi+ na kwa kweli mpate kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu anawapa ninyi.