Kumbukumbu la Torati 5:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 “Na ikawa kwamba mara tu mlipoisikia sauti kutoka katikati ya lile giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto,+ ninyi mlikuja karibu nami, vichwa vyote vya makabila yenu na wanaume wenu wazee.
23 “Na ikawa kwamba mara tu mlipoisikia sauti kutoka katikati ya lile giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto,+ ninyi mlikuja karibu nami, vichwa vyote vya makabila yenu na wanaume wenu wazee.