-
Kumbukumbu la Torati 24:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Ikiwa yule mwanamume wa mwisho amekuja kumchukia naye amemwandikia cheti cha talaka, akakitia mkononi mwake na kumfukuza kutoka katika nyumba yake, au ikiwa yule mwanamume wa mwisho aliyemchukua awe mke wake atakufa,
-