-
Kumbukumbu la Torati 26:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Sijaila wakati wa kuomboleza kwangu, wala sijaondoa sehemu yake yoyote nikiwa si safi, wala sijatoa sehemu yake yoyote kwa ajili ya yeyote aliyekufa. Nimeisikiliza sauti ya Yehova Mungu wangu. Nimefanya kulingana na yote ambayo umeniamuru.
-