Kumbukumbu la Torati 29:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 “Nacho kizazi cha wakati ujao, wana wenu watakaoinuka baada yenu, watalazimika kusema, pia mgeni atakayekuja kutoka katika nchi ya mbali, naam, wakati ambapo wameona mapigo ya nchi hiyo na magonjwa yake ambayo Yehova ameifanya iugue,+
22 “Nacho kizazi cha wakati ujao, wana wenu watakaoinuka baada yenu, watalazimika kusema, pia mgeni atakayekuja kutoka katika nchi ya mbali, naam, wakati ambapo wameona mapigo ya nchi hiyo na magonjwa yake ambayo Yehova ameifanya iugue,+