-
Waamuzi 15:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lakini wakamwambia: “Tumeshuka kuja kukufunga, tukutie mkononi mwa Wafilisti.” Kwa hiyo Samsoni akawaambia: “Niapieni kwamba ninyi wenyewe hamtanishambulia.”
-