-
Ruthu 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Ruthu akaondoka na kuenda kwa mama-mkwe wake, ambaye alimuuliza: “Wewe ni nani, binti yangu?” Ndipo akamwambia kila kitu ambacho mwanamume huyo alikuwa amemfanyia.
-