1 Samweli 11:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Basi wakawaambia wale wajumbe ambao walikuwa wamekuja: “Hivi ndivyo mtakavyowaambia watu wa Yabeshi katika Gileadi, ‘Kesho mtapata wokovu wakati wa jua kali.’”+ Basi wale wajumbe wakaja na kuwaambia watu wa Yabeshi, nao wakaanza kushangilia.
9 Basi wakawaambia wale wajumbe ambao walikuwa wamekuja: “Hivi ndivyo mtakavyowaambia watu wa Yabeshi katika Gileadi, ‘Kesho mtapata wokovu wakati wa jua kali.’”+ Basi wale wajumbe wakaja na kuwaambia watu wa Yabeshi, nao wakaanza kushangilia.