1 Samweli 17:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Akiweza kupigana nami na kunipiga, ndipo sisi tutakapokuwa watumishi wenu. Lakini nikimweza na kumpiga, ndipo ninyi pia mtakapokuwa watumishi wetu, nanyi mtatutumikia.”+
9 Akiweza kupigana nami na kunipiga, ndipo sisi tutakapokuwa watumishi wenu. Lakini nikimweza na kumpiga, ndipo ninyi pia mtakapokuwa watumishi wetu, nanyi mtatutumikia.”+