1 Samweli 19:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Baadaye Yonathani akamwita Daudi na Yonathani akamwambia maneno hayo yote. Kisha Yonathani akampeleka Daudi kwa Sauli, naye akaendelea kuwa mbele yake kama hapo mwanzoni.+
7 Baadaye Yonathani akamwita Daudi na Yonathani akamwambia maneno hayo yote. Kisha Yonathani akampeleka Daudi kwa Sauli, naye akaendelea kuwa mbele yake kama hapo mwanzoni.+