-
1 Samweli 20:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Lakini nikimwambia hivi huyo mvulana, ‘Tazama! Mishale iko mbali zaidi kutoka kwako,’ basi nenda, kwa kuwa Yehova amekutuma uende zako.
-