1 Samweli 23:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi Daudi akaenda pamoja na watu wake mpaka Keila, akapigana na Wafilisti na kuchukua mifugo yao, lakini akawapiga wao kwa mauaji makubwa; na Daudi akawa mwokozi wa wakaaji wa Keila.+
5 Basi Daudi akaenda pamoja na watu wake mpaka Keila, akapigana na Wafilisti na kuchukua mifugo yao, lakini akawapiga wao kwa mauaji makubwa; na Daudi akawa mwokozi wa wakaaji wa Keila.+