1 Samweli 25:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Na ikatukia kwamba alipokuwa amempanda punda+ na kushuka kwenye mlima kisiri, tazama, kumbe, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kuja kukutana naye. Basi akakutana nao.
20 Na ikatukia kwamba alipokuwa amempanda punda+ na kushuka kwenye mlima kisiri, tazama, kumbe, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kuja kukutana naye. Basi akakutana nao.