Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na ikawa kwamba mwanamke huyo alipokuwa akienda nyumbani, aliendelea kumchochea mume wake aombe shamba kutoka kwa baba-mkwe wake. Ndipo mwanamke huyo akapiga makofi akiwa juu ya punda. Naye Kalebu akamwambia: “Unataka nini?”+

  • 2 Wafalme 4:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi akamtandika yule punda-jike+ na kumwambia mtumishi wake: “Endesha punda, uende mbele. Kwa ajili yangu usiache kuendesha isipokuwa nikuambie hivyo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki