20 Ndipo Musa akamchukua mke wake na wanawe na kuwapandisha juu ya punda, naye akarudi katika nchi ya Misri. Na zaidi, Musa akaichukua ile fimbo ya Mungu wa kweli mkononi mwake.+
20 Na ikatukia kwamba alipokuwa amempanda punda+ na kushuka kwenye mlima kisiri, tazama, kumbe, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kuja kukutana naye. Basi akakutana nao.